Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Mechi saa ngapi?Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban.
Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final.
Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale Airport, am on the way to Durban
10Mechi saa ngapi?
Mpaka saa 12 chaka la vyura laweza kuwa limefyekwa au hapana😎