Naelekea kuzama penzini

Kimbia haraka kabla huyo nyoka ajakungata au kukuvuruka akili na kukuachia sumu ambayo utajutia milele. Mwambiwe wewe una mke na yeye ameolewa kwa hiyo kila mtu achukue hamsini zake. Jua mke wa mtu ni sumu na kila siku tunaongelea hapa JF. Kama masikio ya kusikia unayo basi na kama huna wewe endelea tu lakini usirudi hapa kuomba ushauri mambo yatakapokuwa mabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…