Naelekea wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi

kwanza hongera kwa kazi mzuri ila aya majibu waliyokupatia apo wizarani ayajakata kiu kwetu sie wahanga wa swala hili la ajira za walimu ila ni kwa nini serikali iwe na kigugumizi juu la swala hili ni kwa nini awatoi specific time kuwa ajira ni tareh....ugumu upo wp bado tupo njia panda walimu wenzangu
 

allan clement huyu mama ni mkongwe pale wizarani na ni mtu mkubwa, yani ana nafasi yake, sema wanakua wagumu kusema ni lini mambo yatakua sawa
 
na kwa nn wawe wagumu kusema na wametamka wenyewe kuwa ajira ni haki yetu mkuu Rashidi
 
Utata mtupu,yani hayo majibu ni sawa na daktari anayeogopa kumwambia mtu kuwa mgonjwa wako hatopona.TUENDELEE KUSUBIRINI TU NDUGU ZANGU ILA SINA IMANI TENA NA SERIKALI YANGU.
 
Utata mtupu,yani hayo majibu ni sawa na daktari anayeogopa kumwambia mtu kuwa mgonjwa wako hatopona.TUENDELEE KUSUBIRINI TU NDUGU ZANGU ILA SINA IMANI TENA NA SERIKALI YANGU.
 
allan clement huyu mama ni mkongwe pale wizarani na ni mtu mkubwa, yani ana nafasi yake, sema wanakua wagumu kusema ni lini mambo yatakua sawa

haya mkuu ngoja tuwasubiri...mimi siendi private ng'o...!
 
ni bora kusubiria wiki ijayo kwa maana wiki hii ni manyoa kwani ya mwaka juzi yalitoka trh 13.inavyoonekana serikali haina pesa kwani rais alisema wataajiri walimu elf 38 lakini waziri wa elimu amesema anaajiri walimu elf 26,kwa maono yangu serikali imetenga pesa za uchaguzi za 2015
 

sifun mchome sio katibu mkuu wa owm-tamisemi yeye ni katibu mkuu wa moevt
 
Kuanzia mwaka huu waalimu wataanza kuomba kazi kama zilivyo kada nyingine nchini, na kufanyiwa interview! Take it or leave it!
 
Haina haja ya kupaparika natambua tumesota sana kitaa lakin ukwel ni kwamba kimya kingi kuna jambo jema linakuja, haitapita tar. 20 FEBR. tuvute subira pia nampa hongera mdau mwenzet aliyeenda wizaran
 
c amin chochote coz kufikia hapa kisaikolojia cko poa! shukran kwa ku2wakilisha mkuu:
 
Hao jamaa wa wizarani niwaongo sio wa kuwaamini sana, kunajamaa yangu nae alienda akaambiwa haitafika tarehe 10 mwezi wa pili,
 
Kazi nzuri kiongozi ila kwa hayo majibu bado yanakuwa kama ndio yaleyale ya siku zote ya kila mtu kwenye kitengo husika anaongea yake.


Jenista aliongea hayo akiwa kikaoni Iringa na sio rummounce.
Kauli ya naibu wazir kikaoni haiwez ikaitwa ni yakizush.
Labda wafanye yale ya Mulugo na Mchome kutofautiana,yaani sasa aje nae Kawambwa ambae hajasikika kabisa ndie atengue kauli zote za viongoz wenzake.
 
Kama Ni Kwel Bc Wewe Ni Mfano Wa Kuigwa! Ila Tutajuaje Mkuu Kama Unachokisema Ni Cha Kwel? Cause Watu Kibao Wamekuwa Wakipost Habar Zisizo Za Kweli
 
Ndugu zanguni vuteni subira kheri ipo njiani sio muda mrefu kutokea leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…