Gilbert wa tarakea.
Senior Member
- Feb 2, 2014
- 179
- 82
WAKUU, NINA MTU WA UHAKIKA ANAFANYA PALE WIZARANI, LAKINI MAJIBU ALIYONIPA, NAOGOPA KUWAPATIA. ILA INATUTAKA MOYO KAMA NDO ITAKUWA HIVYO. Huwezi kuniamini hata ningefanyaje. Ni vigumu mno. Hard to swallow.

kwan kakwambiaje, mwakan?
Kuanzia mwaka huu waalimu wataanza kuomba kazi kama zilivyo kada nyingine nchini, na kufanyiwa interview! Take it or leave it!