Naenda jimboni... Nitawamiss sana

Kumbe hilo ndilo jimbo analotaka kwenda kugombea? Kugumu sana kule! Yule mzee hivi ana mpango wa kuteteta jombo?

Mgombea Ubunge, heshima mbele sana kwake.Maslahi ya Taifa mbele sana.
 
Kiongozi naona itabidi tutie timu kwenye hili jukwaa kwa muda kuweka watu sawa. Inaelekea watu wanadanganyana sana humu!

Nilishawastukia sana......hata mkuu, FMES naye si unakumbuka alijaga na mradi wa madolati hapa? eti pay USD 300....upate shavu la kwenda majuu....wapi na wapi....kapewa kibano, kasepa kiani.....!
 
FMES...,jamaa mbishi huyo usiambiwe!nenda Jukwaa la Siasa ukaone vituko vyake.JF kuna Vioja!
 
ndugu,

samahani nilitoka kidogo.

nawashukuru sana wote waliochangia thread yangu na kwa hakika nimenufaika sana na mawazo yenu wote. Shukrani za pekee kwa wote walioniunga mkono na kunitia moyo. Safari ni ndefu na ita ni vigumu, lakini nafarijika ninapoona kuwa ushindi ni dhahiri upande wangu.

Nikiri kwamba changamoto ya kuwaania ubunge ndani ya ccm ni kubwa sana, yako mambo ya ufisadi, wizi wa kura, kuhadaa wapiga kura, nk. Hayo yamo ndani ya chama chochote cha siasa japo ukubwa wa tatizo ni tofauti toka chama kimoja hadi ingine.

Kuhusu ccm skubaliani kuwa wote ccm ni mafisadi na naweka wazi uwa mimi si fisadi wala sitafuti ubunge niwe fisadi. Nikifanikisha azma yangu, mtakubaliana nami kuwa kwa mara ya kwanza vita ya kweli dhidi ya ufisadi itapganwa na mbunge wa ccm bila shaka nitakuwa mimi, tuombe Mungu, tutafika

Matajiri wa kutisha ndani ya ccm wapo, sikatai lain si wengi kama inavyoaminka. Kuna watu kanitajia majina ya panda, wasira na mkono. Wote nawafahamu na nawaheshimu sana, lakini siogopi kupambana nao kisiasa. Mtaji wangu mkubwa ni nguvu ya wananchi na naamini naweza kushinda hata nikipambanishwa na nani na mwenye shilingi ngapi.

heshima ya pekee kwa mku next level kwa uchambuzi wake makini. Ni kweli kuwa kwa mujibu wa uchambuzi wake na viambatanisho alivyowasilisha, sifai hata kidogo kwa wadhifa ninaoutafuta kwani matendo yale ni kinyume cha maadili. Naomba niwarudishe nyuma kidogo.

Toka siku ya kwanza najisajli JF nilisema kuwa kama jna langu lilivyo ndivo ilivyo dhamira yangu. Nivyo ndio maana sijitambulishi kuwa nagombea ubunge, bali natoa taarifa kuwa katika siku za karibuni sitaonekana mara nyingi hapa JF na wapendwa msijiulize kulikoni.

Siku za mwanzo hapa JF nilikuwa naleta visa vingi sana vya matatizo ya ndoa na namna nilivyojaribu kuvisuluhisha. Katika visa vile sikuwahi kuweka hadharani majina ya wahusika kwa malengo maalum ambayo kila mtu mstaarabu atakubaliana nami kuhifadhi majina yao. Lengo halikuwa kudanganya, bali kulinda heshima na madili.

Hivyo kuna wakati mtu anasema ama anakaa kimya au anatumia majina bandia kwa lengo la kulinda kitu ama kuelewesha vizuri kitu Fulani. Na ndivyo nilivyofanya mimi. Na ndivyo wafanyavyo na wanJF wengine. Hivyo post aliyotumia next level inaonekana kama ni mimi haswa, bali ukweli ni kwama nilihifadhi jina halisi la mhusika na nikaisimilia kama ni mimi wenyewe kwa lengo la kufikisha ujumbe uliokusudiwa na ambao naamini ulfika. Kukereka walikokereka wachangiaji hapa JF ni kiashiria kingine kuwa ujumbe uliokusudiwa ulifika kikamilifu. Labda kosa la kukiri hapa ni kuwa sikusema tangu mwanzo kuwa si mimi bali nimetumia mtindo wa uandishi kama vile mimi ndiye. Hapo naweza kusema smahani kwa kuwapotosha wale niliowaptosha. Kweli hata mimi napinga sana matendo ya kifataki katika jamii yetu.

Tuendelee kukabiliana na matendo ya aina hii bila kuchoka na naamini ushindi ni wetu.
 
GROW UP MDOGO WANGU!
acha usanii
 

Same script, very same indeed.
 

Ha!ha!ha!ha!ha!ha!ha!.............! mzee nakushauri pitia tena posts zako zote.....then njoo utwambia uliuvaaa uhusika wa mtu mwingine vile......kama huwezi sema nifanye hiyo kazi mimi............!

Mkuu unachekesha sana......bt well tried kuwa ''Mwanasiasa'' ha!ha!ha!
 
hommie,
watu wengine ni kuwazoea.....!
tunashukuru kwa details ulizomwaga hapa kuhusu huyo politician
AMESHINDWA KUUFICHA UPUMBAVU WAKE...!
 

thanks, naheshimu sana mawazo yenu wote na nimepata mengi ya kunisaidia. thanks
 
hommie,
watu wengine ni kuwazoea.....!
tunashukuru kwa details ulizomwaga hapa kuhusu huyo politician
AMESHINDWA KUUFICHA UPUMBAVU WAKE...!

geof, nashukuru.

unajua mtu mwovu ndiye anayefichaficha vitu, sasa mimi sina cha kuficha hata kama ni upumbavu wangu hebu uangalie na kushauri. naamini huwezi kuwa mwerevu mbele ya kila mtu. ni changamoto kubwa sana hasa kama wewe ni mwanasiasa ama nataka kuwa mwanasiasa. wanasema "ukubwa jaa"
 
Ha!ha!ha!ha!ha!aaa mbona hujanigongea senksi kwa kukukumbusha........!

nimekugonea mzee kaangalie. unajua nilivyopata muda wa kufungua PC nikakuta post nyingi sana na ndio nilikuwa nazipitia kabla sijajibu yaliyomo. du mzee lakini uperuzi wako si mchezo!

safi sana mku.
 
thanks, naheshimu sana mawazo yenu wote na nimepata mengi ya kunisaidia. thanks

Heheeeeee....uhusika mwingine kuuvaa nomaa braza.......! unakuchafua jumlajumla.....ushauri...change ID, NJOO KIVINGINE HAPA......!
 
nimekugonea mzee kaangalie. unajua nilivyopata muda wa kufungua PC nikakuta post nyingi sana na ndio nilikuwa nazipitia kabla sijajibu yaliyomo. du mzee lakini uperuzi wako si mchezo!

safi sana mku.

Teheteheheeeeeeee...unaniziba mdomo? kaondoe haraka sana Senksi yako....I don't need it from u serious!
 
Heheeeeee....uhusika mwingine kuuvaa nomaa braza.......! unakuchafua jumlajumla.....ushauri...change ID, NJOO KIVINGINE HAPA......!

nashukuru mzee kwa ushauri wako, lakini kwa sasa nafikiri nitumie hii hii, nikishamaliza kazi, naibadili............. au unasemaje hapo?
 
Heeeh MK, Hujaona hoja yake? u can't be serious! tena huyu bora anaenda CCM! akichemsha huko, nyie opposition mnatabia ya kuwazoa.....huyu hafai! anyway!
sijaona hoja yake kwani kama anaenda kugombea angeweka jina wazi ili kama ni watu waanze ama kumsaidia au kumpa mbinu, sasa jina hana analeta hoja gani hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…