Mbunge wa CCM
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 475
- 25
- Thread starter
-
- #121
Mheshimiwa sana Mgombea Ubungo kumbe umezoea kuwapotosha watu inawezekana kabisa unatupotosha tena kwa huko kujitetea kwako, tutaaminije kama sasa ndiyo unasema ukweli.
Unajua ni vigumu sana kwa mtu muongo kuaminika kama amebadilika hata akisema ukweli watu hawataamini.
Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki2nd January 2010, 04:52 PM Replies: 17
Ndoa hizi.....we acha tu
Views: 584
Posted By Mgombea Ubunge
Re: Ndoa hizi.....we acha tu
nakubaliana na wewe kuwa huyo anakijua mwenyewe. hata mie kuna wakati nafikiria kumjengea nyumba dada mmoja kwa mapenzi makuwa ya heshima na uaminifu anayonipa. ni moyo tu ndio unaotaka!!!!!!!!!!...
...........do the needful please.......!
Hapa hujapewa Ubunge ukipewa je si utakuwa una honga honga ovyo!!!!
Hapa hujapewa Ubunge ukipewa je si utakuwa una honga honga ovyo!!!!
Kimtokacho Mtu Ndicho Kimtiacho Mtu Unajisi, Maana kimtokacho mtu kiantoka Moyoni namo hujaa Mawazo Machafu, Uzinzi Uasherati nk
Mgombea Ubunge Umenajisika kwa hili
mbona hili ni jambo jema sana? lina ubaya gani? zaidi ya yote ni mapenzi binafsi.
tena nasema bila kuficha kuwa ni kutokana na mapenzi, wema na uaminifu wake kwangu. tena huyo mtu hajaolewa, ingekuwa mke wa mtu labda ingeuwa tatizo. hii ni kama zawadi zingine hata kama kwa mtazamo wa wengine inaonekana ni kbwa sana.
kuna mtu hapa duniani haruhusiwi kutoa zawadi? au ni zawadi gani zilizon fair kutoa na zawadi gani si fair, labda tusaidiane hapo.
Kimtokacho Mtu Ndicho Kimtiacho Mtu Unajisi, Maana kimtokacho mtu kiantoka Moyoni namo hujaa Mawazo Machafu, Uzinzi Uasherati nk
Mgombea Ubunge Umenajisika kwa hili
Well and good.....tell us something! Hapo ulikuwa unamaanisha wewe au napo uliuvaa uhusika mheshimiwa mtarajiwa?
mkuu ndege ya uchumi heshima mbele.
nakubaliana na hilo la kimtokacho mtu......
lakini mie sijanajisika, mashambulizi haya yanatokana na mitazamo ya watu tu. unajua wanawatisha vijana wasijaribu kutangaza hadharani makusudio ya kuwania uongozi,
hivi kama tungefunga scaner hapa JF ikam-scan kila mtu moyo wake, linywa chake na miguu yake, nani angesimama? mi nakubali wanitundike msalabani lakini nitaejea tena apa JF siku moja kuwashukuru wote , hakika siku moja nitakuwa mshindi!
tuombe uzima
Ni kiasi gani I mean ni sh. ngapi umeshatumia mpaka sasa? kwani inaonekana unatimu kubwa sana huko jimboni,na chama unachotaka kugombea bila kuwa na za mzee Chenge i mean Vijisenti hutapata kura za wananchi. Je umeandaa kiasi gani cha kuwadanganyia wananchi? yaani kununulia chumvi,kanga na pombe kwani chama chako kimeshawazoesha wananchi hivyo na wao wanaona ni haki yao kununuliwa chumvi angalau nusu kilo kwa kila familia ndo wakupe ubunge kwa miaka kitano.
nafikiri post inajitosheleza
......ndugu na jamaa wameahidi kuwa watanisaidia mambo fulani mfano kunifadhili malazi wakati nikizunguka maeneo mbalimbali jimboni, na utaona ni takrima za kwaida kabisa za kiafrika.
......
Katika kipindi cha wiki tatu nitafanya safari kadhaa katika nchi takriban nne hivi ikiwa ni katika kuweka sawa masuala yangu huku ughaibuni kwani februay nitarejea nyumbani ambapo pamoja na mambo mengine nitatangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimboni kwangu.
Ntarajia kugombea ubunge kupitia jimbo la uchaguzi kwa tiketi ya ccm. kutokana na ukweli kwamba kura za maoni za ccm zitapigwa na wanchama wote, ni wazi kuwa kazi ya kuweka mambo sawa jimboni ni kubwa zaidi kuliko katika chaguzi zilizopita. Tayari timu yangu iko jimboni kwa wiki kadhaa sasa na ninalazimika kwenda huko mapema kuiongezea nguvu hasa ikizingatiwa kuwa baada ya march nitakuwa tena na safari nyingine za ng'ambo.
Kutokana na ratiba yangu kuwa ngumu katika kipindi hiki, ni wazi sitaweza kuwa na muda mwingi ndani ya JF halikadhalka nikiwa jimbon siaweza kupata connection ya uhakika ya internet na hivyo nitawamiss sana wapendwa.
Nawatakien kila la her na tuendelee kuombeana heri katika harakati mbalimbali tuanazofanya kwa manufaa yetu na nchi yetu
asanteni
hahahahahahaaaaaaaaa, umenivunja mbavu mkuu!Mamaaaaaaaaaa! Hakika hawakujui hao! au watakuwa hawana vibinti vidogo.......!ha!hahahaaaaa!
Hapa naona unafanya kwa manufaa yako tu kwa sababu tabia yako ya kubaka mabinti wadogo wadogo ambayo umeionyesha dhahiri ni tosha kabisa huna uwezo wa uongozi na unafahamu fika ni Chama Cha Majambazi tu ambacho kitakukubali kwa sababu wao kinachojalisha ni idadi ya pesa ulizonazo mfukoni. Mpe salamu JK na kundi lake la mafiadi na waambie tuinakuja kuwashughulikia kuondoa Mvundo ambao unanuka katika pembe zote za Jamuhuri ya Muungano.
BTW tutaku-miss vipi wakati wewe hata robo mwaka hujamaliza hapa JF na kwa michango ipi? Au unafikiri hiki ni kilabu cha kunywa kimpumu au kangala?