Naenda Kongwa kumbe Dhahabu ya Kusini iko kule

Oldskul

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
85
Reaction score
153
Wadau kwema

Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile.

Kumbe show inaendelea Dodoma halafu watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara dah.

Ngoja nifunge safar niende.. nikikuta na fursa nyingine ntawarudia stay tuned.....View attachment 1566689View attachment 1566688
kongwa_tuitakayo-20200911-0001.jpg

Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mbona kitambo sanaa central Zone wana produce koro show
Huenda ukawa umetengwa na dunia ndio maana hupati taarifa
NB
Manyoni INA mashamba makubwa ya korosho kulko halimashauri yeyote nchi hii
 
Una hakika na unachokisema, umeshakwenda mikoa ya kusini ukaona mashamba makubwa ya korosho yanavyofanana
Mi mwenyewe nimeshangaa Manyoni ndio mashamba makubwa kuliko Lindi na Mtwara
 
Mi mwenyewe nimeshangaa Manyoni ndo mashamba makubwa kuliko Lindi na Mtwara
Hajafika kusini huyu..kaenda kongwa na hapo manyoni ndio anatoa conclusion.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wadau kwema

Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile.

Kumbe show inaendelea Dodoma halafu watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara dah.

Ngoja nifunge safar niende.. nikikuta na fursa nyingine ntawarudia stay tuned.....View attachment 1566689View attachment 1566688View attachment 1566690

Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Tunasubiri mrejesho mkuu
 
Wewe unasema manyoni kuna mashamba makubwa kuliko mtwara na lindi! Umesimuliwa au unajua kwa uhakika
 
Wadau kwema

Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile.

Kumbe show inaendelea Dodoma halafu watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara dah.

Ngoja nifunge safar niende.. nikikuta na fursa nyingine ntawarudia stay tuned.....View attachment 1566689View attachment 1566688View attachment 1566690

Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Wee jichanganye tu UJUTE..
Kama Lindi na Mtwara walimaji wakubwa wa Korosho hawana soko je, unadhani Kongwa korosho itauzika?

Waziri Mkuu kashindwa wasaidia wapigakura wake na zao lao la Korosho sembuse Ndugai?

Kongwa Lima Alizeti au Karanga tu ndo mazao yenye soko la Uhakika achana na Mbwembwe za kumfurahisha "bwanayule".....
 
Waingereza waliwahi kulima karanga enzi hizo za ukoloni huko kongwa zikafeli kongwa groundnuts scheeme
 
Back
Top Bottom