Una hakika na unachokisema, umeshakwenda mikoa ya kusini ukaona mashamba makubwa ya korosho yanavyofananaMbona kitambo sanaa central Zone wana produce koro show
Huenda ukawa umetengwa na dunia ndio maana hupati taarifa
NB
Manyoni INA mashamba makubwa ya korosho kulko halimashauri yeyote nchi hii
Mi mwenyewe nimeshangaa Manyoni ndio mashamba makubwa kuliko Lindi na MtwaraUna hakika na unachokisema, umeshakwenda mikoa ya kusini ukaona mashamba makubwa ya korosho yanavyofanana
Hajafika kusini huyu..kaenda kongwa na hapo manyoni ndio anatoa conclusion.Mi mwenyewe nimeshangaa Manyoni ndo mashamba makubwa kuliko Lindi na Mtwara
Tunasubiri mrejesho mkuuWadau kwema
Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile.
Kumbe show inaendelea Dodoma halafu watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara dah.
Ngoja nifunge safar niende.. nikikuta na fursa nyingine ntawarudia stay tuned.....View attachment 1566689View attachment 1566688View attachment 1566690
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Wee jichanganye tu UJUTE..Wadau kwema

Wewe unasema manyoni kuna mashamba makubwa kuliko mtwara na lindi! Umesimuliwa au unajua kwa uhakika