muwaha
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 740
- 148
Wakuu habari ya jumamosi? nimedunduliza fedha kwa kujibana sana, na zimefika milioni 20!!! kesho napanda basi naenda "Darisalama" kununua gari. Naomba ushauri yard gani inauza gari nzuri, mie napenda niendeshe GX 110. Pia hotel gani itanifaa kupunga upepo wa baharini na maeneo ya kujinafasi ni yapi???baada ya kununua gari nitamtafuta babu Asprin nimjulie hali... nawashukuru kwa ushauri mtakaonipa.