ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Dunia ya sasa hivi hutakiwi kumuamini kila mtuKwa Mtu anae Enda Mwanza Na Private Car akitokea Dar, Naomba Anicheck PM ili nimchangie Ya Mafuta
Asante
Una jinsia ipi?
Unaweza panda Gari la mkaa?
Kwa Mtu anae Enda Mwanza Na Private Car akitokea Dar, Naomba Anicheck PM ili nimchangie ya Mafuta
Asante
Sio hivo, namaanisha akifika Mwanza sijui nyuma ya sokoni ndo yupo huyu bidadaKumbe huwaga anashughulika na mausafiri?
Sio hivo, namaanisha akifika Mwanza sijui nyuma ya sokoni ndo yupo huyu bidada