Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha izo loh. Aende Kibera slums unamtakia nini?Kibera Slum zimejaa
Google Kipepeo na sio mbali na standWadau mlioko Nairobi niko njiani naelekea huko,mwenye kujua mitaa gani naweza kupata Lodge ya bei rahisi,budget yangu isizidi 1500 ksh kwa siku,chumba sefl contained...
ksh 1500 nenda kibera tuWadau mlioko Nairobi niko njiani naelekea huko,mwenye kujua mitaa gani naweza kupata Lodge ya bei rahisi,budget yangu isizidi 1500 ksh kwa siku,chumba sefl contained...
Bon voyage.. Ufike salama... Ukifika usishawishike wakora ni wengiAsante Mshana Jr nimeshapata Veecam Hotel naona patanifaa,Nimecheki Kipepeo naona bei zao ziko juu kidogo,asanteni wadau wengine kwa michango yenu...
Hawajui kuwa 1,500 ya Kenya ni kubwa hiyo, anapata room safi tu
0726720983 Lakes lodge, bei ni 1,500 na iko ghorofani safi kabisa.Wadau mlioko Nairobi niko njiani naelekea huko,mwenye kujua mitaa gani naweza kupata Lodge ya bei rahisi,budget yangu isizidi 1500 ksh kwa siku,chumba sefl contained...
Ukifika huko waambie unaishi majuu(USA au Canada)utawatafuna mademu zao mpaka utachoka,wakenya wanahusudu sana kwenda majuuWadau mlioko Nairobi niko njiani naelekea huko,mwenye kujua mitaa gani naweza kupata Lodge ya bei rahisi,budget yangu isizidi 1500 ksh kwa siku,chumba sefl contained...
Walijua ya kibongo.. Nina neno nawe chemba[emoji1545]Hawajui kuwa 1,500 ya Kenya ni kubwa hiyo, anapata room safi tu
Karibu