Naendelea kumuelewa Deception

Naendelea kumuelewa Deception

bad science lol

mie sijaangalia kilichomo ila wanaoandika hivi tayari wamesha capture imagination za watu,...................in headlines,waandishi wa magazeti ya kawaida wako kama magazeti ya udaku tu lol
 
Lugha ya malkia inatia njaa sana aisee. Wengine elimu zetu za hapa na pale, kutulutea lilink liloandikwa kizungu ni kutukomoa tu.

Mkuu, hebu isamaraizi hiyo habari utupe brifu yake kwa lugha ya madafu na akina sie tuilewe.

-Kaveli-
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom