Ngozi Joram JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 662 Reaction score 545 Nov 7, 2016 #1 Indian doctors sue Bill Gates for harming children with deadly 'humanitarian' vaccines Jisomee hiyo habari uone kitu ambacho Billgate analalamikiwa India
Indian doctors sue Bill Gates for harming children with deadly 'humanitarian' vaccines Jisomee hiyo habari uone kitu ambacho Billgate analalamikiwa India
Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,136 Reaction score 32,268 Nov 7, 2016 #2 bad science lol mie sijaangalia kilichomo ila wanaoandika hivi tayari wamesha capture imagination za watu,...................in headlines,waandishi wa magazeti ya kawaida wako kama magazeti ya udaku tu lol
bad science lol mie sijaangalia kilichomo ila wanaoandika hivi tayari wamesha capture imagination za watu,...................in headlines,waandishi wa magazeti ya kawaida wako kama magazeti ya udaku tu lol
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,443 Reaction score 8,903 Nov 8, 2016 #3 Lugha ya malkia inatia njaa sana aisee. Wengine elimu zetu za hapa na pale, kutulutea lilink liloandikwa kizungu ni kutukomoa tu. Mkuu, hebu isamaraizi hiyo habari utupe brifu yake kwa lugha ya madafu na akina sie tuilewe. -Kaveli-
Lugha ya malkia inatia njaa sana aisee. Wengine elimu zetu za hapa na pale, kutulutea lilink liloandikwa kizungu ni kutukomoa tu. Mkuu, hebu isamaraizi hiyo habari utupe brifu yake kwa lugha ya madafu na akina sie tuilewe. -Kaveli-
dustless JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 796 Reaction score 712 Nov 8, 2016 #4 Kweli bhana..
maalimu shewedy JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 860 Reaction score 691 Nov 13, 2016 #5 Kaveli said: Lugha ya malkia inatia njaa sana aisee. Wengine elimu zetu za hapa na pale, kutulutea lilink liloandikwa kizungu ni kutukomoa tu. Mkuu, hebu isamaraizi hiyo habari utupe brifu yake kwa lugha ya madafu na akina sie tuilewe. -Kaveli- Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaveli said: Lugha ya malkia inatia njaa sana aisee. Wengine elimu zetu za hapa na pale, kutulutea lilink liloandikwa kizungu ni kutukomoa tu. Mkuu, hebu isamaraizi hiyo habari utupe brifu yake kwa lugha ya madafu na akina sie tuilewe. -Kaveli- Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]