Naendelea kuwaelimisha mashabiki wa Simba

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Mikia : Yanga haijawahi kuingia makundi Champions League.

Yanga : Remember 1998, sisi ndio waasisi, tena ilikuwa 8 bora sio nyie makundi timu 16.

Mikia : Yanga haijawahi kujaza uwanja wa Taifa wasipocheza na Simba.

Yanga : Remember Yanga vs TP Mazembe mpaka mageti yakafungwa na watu wakafukuzwa na mabomu warudi nyumbani.

Mikia : Yanga haiwezi kujaza uwanja mpaka waingizwe bure.

Yanga : Remember fainali ya Kagame Cup ,Yanga vs Azam FC.

Remember Yanga vs Al Ahly, ile mechi Canavaro anafunga goli la kichwa, tulikuja kukaa mpaka upande wenu mkaita polisi wakatufukuza kwa mabomu?.

Mikia : Simba ni timu bora kimataifa.

Yanga : Remember mwaka jana ktk kupanga makundi yule mtangazaji wa Egypt aliitaje Yanga, A Big Team from Tanzania, tuone nyie kama mtapewa hiyo heshima.

Pia angalia CAF walipowapanga ktk pots za seeding, mmewekwa Level 4, yaani ambazo ni vibonde ktk zile 16 zote.

Kwa msiofahamu Simba kapangwa Level 4 na timu kama Soura na Lobi ambazo ndio zinshiriki Champions league kwa mara ya kwanza.

Mikia : Simba sasa hivi timu kubwa tunashundana na level za kina Mazembe, sio nyie mnacheza na Tukuyu.

Yanga : Remember kesho mtacheza na timu ya Mashujaa toka Kigoma ebu mtuambie Kigoma ni nchi au kwa kuwa iko karibu na Burundi?

Mikia : Lile goli la Chama ni goli bora halijawahi kufungwa.

Yanga : Remember yule kijana wa under 20 ya Mbao alifunga goli kama lile kabla hajaenda kushangilia pembeni na kupoteza maisha.

Mikia : Yanga mlivyoona uwanja umejaa mkatamani mtembeze bakuli.

Yanga : Remember , Yanga kuchangishana sio jambo geni, tena tulienda mbali tuliwachangia ktk rambirambi ya Mafisango na pesa hamkufikisha, hatutaki kuongelea na tulizowachangia mwaka jana.

Mikia : 😭
Yanga : Unalia nini sasa?
 
Walijaza uwanja kwa msaada wa Manji
 
Wewe chura weka hizo seedings unazosema kuhusu Champions league draw itakayofanyika Ijumaa tarehe 28/12/2018.
Uongo njia yake fupi.
Kwa sababu mimi ninazo.Hoja zako zingine ni za kitoto sana hazistahili kutengewa muda.
Ushauri hizi pesa unazotumia kuweka bando na kuandika mambo ya kijinga ungepeleka kwenye kapu la michango zingesaidia kupeleka vyura Mbeya.
 
kwanini unateseka namna hii!!basi tufanye hivi,yanga ndo timu tajiri kuliko zote,ndo wenye magoli mengi kuliko wote,wamechukua hadi kombe la dunia la vilabu, juzi walicheza na madrid..!!kawaida masikini kuona anaonewa kwa kila jambo ,poleni sana maana mateso ndo kwanza yameanza!!
 
😁😁 sasa hapo nani anateseka?
 
Pot 4
Ismaily-Egypt
Loba Stars-Nigeria
FC Platium-Zimbabwe
JS Soura-Algeria
Unapoongea na wajinga wenzako usifikiri watu wote wako kwenye level yako.
Mtambo wewe.
Pukachaka.
 
Lete ulizo nazo ww hapa kama Simba mpo level one or two au hata three
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…