Naendelea kuwaelimisha mashabiki wa Simba

Pot 4
Ismaily-Egypt
Loba Stars-Nigeria
FC Platium-Zimbabwe
JS Soura-Algeria
Unapoongea na wajinga wenzako usifikiri watu wote wako kwenye level yako.
Mtambo wewe.
Pukachaka.
😁😁😁 we umedanganywa mkuu,siyo pot teams zimepangwa kwa levels kulikana na kushiriki mara kwa mara,yaani hizo Timu ndo underdogs kwa team zote wapo level 4
 
Duuh seriously unamrithisha mtoto ushabiki wa Yanga, daah so sad
 
Reactions: Tui
Unajua hata maana ya Pot au unapinga tu kuonyesha ujinga wako. Hizo seedings ndizo zinaamua utakuwa kwenye Pot gani.
Nisije nikawa najaribu kumfundisha fisi kupanda mti.
 
Unajua hata maana ya Pot au unapinga tu kuonyesha ujinga wako. Hizo seedings ndizo zinaamua utakuwa kwenye Pot gani.
Nisije nikawa najaribu kumfundisha fisi kupanda mti.
Wewe ndo unaelewa mkuu
 
..
Mikia : Simba ni timu bora kimataifa.

Yanga : Remember mwaka jana ktk kupanga makundi yule mtangazaji wa Egypt aliitaje Yanga, A Big Team from Tanzania, tuone nyie kama mtapewa hiyo heshima.
Kwa hiyo ubora wa timu unapimwa kwa kutajwa na mtangazaji wa Misri? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› Ha ha haaaaa! Churaaaaa! Amepanic
 
Pot 4
Ismaily-Egypt
Loba Stars-Nigeria
FC Platium-Zimbabwe
JS Soura-Algeria
Unapoongea na wajinga wenzako usifikiri watu wote wako kwenye level yako.
Mtambo wewe.
Pukachaka.
Wacha kutumia nguvu sana, na unaweza wasilisha hoja yako bila matusi na ukaeleweka. Otherwise unajishushia heshima yako bure mkuu.
 
Mikia: Simba ilicheza fainali ya ligi ya mabingwa Africa
Yangu: Kumbuka mwaka 1998 tulifika hatua ya makundi na tulikua wa mwisho ......teh teh teh omba omba FC
 
Reactions: Tui
Mikia wana kelele sana,wakati wamesugua benchi bila ubingwa kwa miaka kadhaa na tulikuwa tunawaheshimu tu,saiz wanataka kupanda hadi kichwani sasa
Eti tunawaheshimu.. Shubamitiii... Tulete nyuzi za tambo zenu hapa? Mtuache
 
Yanga : Remember yule kijana wa under 20 ya Mbao alifunga goli kama lile kabla hajaenda kushangilia pembeni na kupoteza maisha.


Naomba unisumulie kidogo kuhusiana na hiki kisa ilikuaje.

Sina kumbukumbu nacho, kinahuzunisha!
 
Hata kama siyo shabiki wa mipira yenu ya Chandimu lakini kuhusu seeding ya CAF Champions league Simba S.C. iko pot 4 ikiwa na point ziro sawa na Lobi na Ismailia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…