Naendesha gari ghafla..

Naendesha gari ghafla..

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,285
Hbr wanajf hasa wa jukwaa hili!

Niende kwenye mada husika, leo asubuhi nikiwa naendesha gari nikitokea mlima city kuelekea sinza madukani kupitia makaburini, nilipofika maeneo ya makaburini ghafla nikamuona aliyekuwa mume wangu...kilichoendelea hapo ntawajuza kesho maana najisikia kuchoka.
 
Hiv kumbe uliachwa kwenye ile harus uliyotualika
 
Hbr wanajf hasa wa jukwaa hili!

Niende kwenye mada husika, leo asubuhi nikiwa naendesha gari nikitokea mlima city kuelekea sinza madukani kupitia makaburini, nilipofika maeneo ya makaburini ghafla nikamuona aliyekuwa mume wangu...kilichoendelea hapo ntawajuza kesho maana najisikia kuchoka.

Yooo moniccca willkommen mamaa akee.
 
Hbr wanajf hasa wa jukwaa hili!

Niende kwenye mada husika, leo asubuhi nikiwa naendesha gari nikitokea mlima city kuelekea sinza madukani kupitia makaburini, nilipofika maeneo ya makaburini ghafla nikamuona aliyekuwa mume wangu...kilichoendelea hapo ntawajuza kesho maana najisikia kuchoka.
Ndo madhara ya ndoa za mwendokasi...tulikuonyaaaa ukatuona maboya...hongera maam!
 
Back
Top Bottom