Gud sana, sasa endelea kulala upumzikeLand rover 109
Loooooooooh!!!!Unapenda ma'handsome wewe!![emoji1]Nimerudi tena mr handsome
Hbr wanajf hasa wa jukwaa hili!
Niende kwenye mada husika, leo asubuhi nikiwa naendesha gari nikitokea mlima city kuelekea sinza madukani kupitia makaburini, nilipofika maeneo ya makaburini ghafla nikamuona aliyekuwa mume wangu...kilichoendelea hapo ntawajuza kesho maana najisikia kuchoka.
Ndo madhara ya ndoa za mwendokasi...tulikuonyaaaa ukatuona maboya...hongera maam!Hbr wanajf hasa wa jukwaa hili!
Niende kwenye mada husika, leo asubuhi nikiwa naendesha gari nikitokea mlima city kuelekea sinza madukani kupitia makaburini, nilipofika maeneo ya makaburini ghafla nikamuona aliyekuwa mume wangu...kilichoendelea hapo ntawajuza kesho maana najisikia kuchoka.
Hakuolewa bhanaa, ulipoteza wino wako bure kumuonya hapaNdo madhara ya ndoa za mwendokasi...tulikuonyaaaa ukatuona maboya...hongera maam!