Naeza pata nafasi CBE Mwanza branch?

Naeza pata nafasi CBE Mwanza branch?

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,384
Wakuu hbr zenu? Nina certificate ya rural development planning toka IRDP-lake zone. Nahisi kuwa nimechelewa kufanya application, tafadhali ninaomba ikiwa kuna uwezekano wa kuapply na kuanza masomo this coming sem 2013.

Nitashukuru nikifanikiwa
 
Wahi ndo wanaanza kujaza form za kuomba kujiunga.
 
Cbe chuo chabiashara bwna wala ucwe na wacwac wale jamaa hata ukichelewa mwez mmoja kbla unapata tu nafac ni wewe tu
 
Back
Top Bottom