Nafadhaika pasi kujua maradhi

Nafadhaika pasi kujua maradhi

Big jay

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
96
Reaction score
33
Waungwana naomba msaada wenu wakitabibu ,, Mwezi wa pili nilileta Uzi ulio husu kutokwa na vidonda kwenye korodani vikiambatana na majimaji ambayo yalikua yanaganda mapajani na kusababisha vipele vingine,,kwa ushauri wenu wadau mkasema niende hospital kweli nikaenda nikachukuliwa vipimo vya mkojo na damu,baada ya majibu nikaambiwa sina tatizo lolote,, kweli baada ya week moja tu! Vile vimalengelenge vikapote kabsaa,, mda wa week 2 hizi naskia kamuwasho fulani sehemu za siri alafu usoni nina vi chunusi visivyokwisha macho naona ka makavu yaani ukungu machoni na kinywani ka harufu kabaya kabaya hivi.. Msaada tafadhari
Nb: nipo nje ya Tz nipo
Na tatizo hili limenikuta nikiwa safarini kuja huku kusini.
 
Nakushauri upime HIV...ni ushauri tu kaka yangu usishtuke sana.Ijue afya yako
 
Back
Top Bottom