NAFAKA

FLORA KIBONA

Member
Joined
Dec 8, 2023
Posts
10
Reaction score
6
Hello wana Jf kwa wafanyabiashara wa biashara ya mchele hasa wale ambao bado mna mitaji midogo haina haja ya kutumia ghalama ya kusafiri mpaka mbeya Karibu uagize mzigo unaohitaji kutoka kwetu nipo mashine za mpunga wilayani Mbarali
Na hata kama unahitaji kuanzisha biashara hii ya mchele kwa mji uliopo Karibu tukuhudumie
 
mkuu nahitaji mzigo, namba yangu hii hapa,0746511490
 
weka basi namba yako ya simu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…