Nafaka

Nafaka

supergon

Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
8
Reaction score
2
Hallow wana jf... Nmerud tena niko nauza nafaka zote yaan mchele, unga, maharage, mafuta ya alizeti na vingne vngi vyote vinapatikanika kwa bei ya jumla na rejareja. ..... Tena kwa bei nafuu kabisa
 
Uko wapi? Bei zako je, kwa kilo au tani? Usafiri juu yangu au? Contact?
Hallow wana jf... Nmerud tena niko nauza nafaka zote yaan mchele, unga, maharage, mafuta ya alizeti na vingne vngi vyote vinapatikanika kwa bei ya jumla na rejareja. ..... Tena kwa bei nafuu kabisa
 
Suala la usafir tunaweza ongea na contact ni 0719553454 & 0758908041 na suala la bei ni tofaut tofaut inategemeana na mzingo na aina ya nafaka
 
Hallow wana jf... Nmerud tena niko nauza nafaka zote yaan mchele, unga, maharage, mafuta ya alizeti na vingne vngi vyote vinapatikanika kwa bei ya jumla na rejareja. ..... Tena kwa bei nafuu kabisa

naomba nikushauri..unapoamua kutangaza biashara yako jitahidi kutenga mda na kutoa mchanganuo uliobora,kama vile..nin unauza kwamadaraja yapi na bei zake,wapi,ili mteja atambue urefu na kulinganisha na sehemu nyingne alikozoea..na mengine..bt hongera.
 
Niko dar bt moro, mbeya, iringa huko pia napatikanika
 
Asante allina ntajitahid hivo... Asante sana kwa ushauri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom