Nafanana na Kim Kardashian

weka picha tuone umbo maana ndilo unaloongelea...sura ficha ila ukiiweka itakua bpoa zaidi..wink wink..
 
Sasa si nishawapa sample wazeiya...kama kim,..vipimo tunafanana
 

I find you so attractive then... Mi nafanana na Snoop-Lion.
 
Ndo nan uyo snoop lion...bora ungefanana na reggie b au kanye...hehehe
 

weka picha tukuone
kama kweli tunakupa deal matangazo....
 
heheheh,pic nevrr,ila hint ndo hvo km kim..leta deal ya tangazo hlo af tuwasiliane vzur
 
Af me bado mgenii i dnt knw how to send pics o anythn...naomba muongozoo
and c'mon guys mbna uku tz girls got nice bodyshapes kim k ya kitoto,sasa picha ya nin wkt mnajua watoto tz wapo vzurii
 
Upo wapi wewe?maana nilivyo na crush na huyo mdada halafu kumbe clone ipo karibu(i presume uko somewhere in tz)nakutamanije!
 
Smwhr in Dar.....lakn jmn ujue shape ya kim sio kwmb ni extra ordinary,ipo sana tu..fame adds to her
 
Hhahah,habar ndo hyo,sex tape sinaa,..i js like kk for her fashion trends mengne kaharibuu..

Itakuwa unafanana nae kitabia kupenda ngono na miana ume tofauti tofauti pia au?
 
mwee ,sipo uko...apo nmemuongelea her fashion side alone ooooh

Kama ni mrembo kama Kim mbona basi hatujakuona hata kwenye bongo movies?

Hata kwenye albam ya Diamond hii ya Ngololo alishindwa kukuchukua bana ukauze sura?Ahahahahahahahahahaha!I doubt an haya utuaambiayo hapa
 
Kama ni mrembo kama Kim mbona basi hatujakuona hata kwenye bongo movies?

Hata kwenye albam ya Diamond hii ya Ngololo alishindwa kukuchukua bana ukauze sura?Ahahahahahahahahahaha!I doubt an haya utuaambiayo hapa

kwn wasioenda kushiriki u'miss kw mfano,ni wote hawana sifa?‎؟‎ interest tu,sio kwamb ukipewa na muumba vtu vzur basi ndo iwe matatzo mjin,..ht we unajua
 
Hehehhhe....shughuliii,
tatzo picha nkijulikana atiii c itakuwa kashersheee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…