Nafanana na Kim Kardashian

Sielew uko pm ndo wapy jmn,me mgenii,najua kupost thread na kucomment basii..nielekeze
 
mambo ya chtchat mnayaleta huku...

shame on you '..
 
makubwa.........kwanini usifanane na bicheka?
 
Hahahah kama una maungo sawa na ya Kim Kardashian ingekuwa vyema ukate shauku ya wana JF kwa kuonyesha picha yako moja hapa
 
mimi sijafanana na mtu ila kuna watu wamefanana na mimi..teh!teh.............drake + usha =
 
Hiyo waist to hips ratio mbona si mali kitu. Hebu fanya hii hapa yangu uuone ni jinsi gani nadata na li wowowo.....waist 34; Hips 54 inches :shock:


 
huyu mwanzisha mada atakuwa amepokea PM zisizopungua 100!
 
huyu mwanzisha mada atakuwa amepokea PM zisizopungua 100!

hihihih....na nkitupia pcha itakuwaje atii,had naogopaaa lolz...
Nlianzisha thread for th sake of my fellow ladies wajijue namna gan wavae wapendeze zaid,looh,kashershee
 
Nitumie basi pic yako hata pm nikuone
 
kiuno changu na umbo ratio kama khadija kopa, mume wangu Asprin njoo uwaambie hapa unavyojifaidia minyama, kha! kwi kwi kwi! kazi ipo wallahi!
 
Last edited by a moderator:
kiuno changu na umbo ratio kama khadija kopa, mume wangu Asprin njoo uwaambie hapa unavyojifaidia minyama, kha! kwi kwi kwi! kazi ipo wallahi!
Nachokifaidi toka kwako, itabakia kuwa siri yangu. Wallah huu utamu ukimpa mwingine mi kujilipua sio tatizo sana.... Mwaaa cacico wa ODM, mwaaa tena.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…