Nafanya biashara ya Miamala. Naombeni ushauri wenu

Lakini angalieni msije kutuharibia ulaji wa Lipa, chawa wa mama watastukia dili
 
Biashara hiyo inahitaji umakini wa hali ya juu.Kufunga hesabu kila siku unapofunga unapomtumia mtu pesa hakiki kiasi maana unaweza kujichanganya badala umtumie mteja 2000 ukajikuta umetuma 20000.

Kama umeamua kufanya biashara fanya na ukubali hasara hutokea lkn umakini japo kuna watakaokatisha tamaa lkn angalia nn kile unachokifanya

Adui mwingine ni utapeli puuzia simu zote zitakazopigwa katika simu za kazi ispokua 100 tu namba za kampuni

Hao wafanyakazi wasiruhusu kumpa mteja yeyote simu za kazi wala kutoa kwa kumsaidia kupiga kwa rfiki yake hata km mteja ataweka vocha ni bora kumuacha tu hua sio wema kabisa kinaweza kutokea kitu kizito.
 
Ndg naomba nichek tsap kuna ishu tuongee 0738969626
 
Uanze kufunga sasa, record miamala yote funga hesabu.
Utaona panapovuja.

Inawezekana hata vijana wanakupiga sungunyo ndogo ndogo.
Kabisa, hesabu ifungwe kila siku na ahakikishe anatumiwa hata kwa sms
 
Mbona faida ndogo sana!!.?
kashike jembe ulime hata bamia
 
Asante mkuu
 
Tafuta LIPA NAMBA wanaotoa wote tumia lipa namba. Mfano mtu anataka kutoa Laki moja, analipa 102,000 unampa 100,000 Kamili. Miamala ya kuweka tu ndio tumia Till. Tofauti na hapo ukikomaa kawaida hata kodi utakosa, mtaji wote utaisha unajiona
ukweli mtupu
 
Ni kweli sina muda mrefu nimeanza na line 3 tu! lkn bado nahitaji kujua namna ya udhibiti wa ile fedha ili hata nikiongeza mtaji isinipe shida.
wewe ni muajiriwa serikalini?
 
Ushauri wa faida
 
Niliyembaini ananidokolea nimuondoe au nikae nae chini ili kumjenga na kuendelea kumtumia? mwenye uzoefu na hili wandugu.
huyu muizi ni mfanyakazi au mtoto au ndugu wa karibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…