Nafanya international business

Nafanya international business

Al-habiib

Senior Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
110
Reaction score
151
Habari wakuu

Nahitaji kufanya international business Yani kununua bidhaa kutoka kwenye kampuni zlzo nje ya nchi mfano UK, Austria, South Africa n.k.

Naomba kujua Ni njia gani za kufanya malipo ambzo Ni salama Zaid ambazo ztailinda pesa yangu ispotee pale inapotokea muuzaji akawa si muaminifu.

Pia nlikuwa naomba kujua T/T inakuaje na letter of credit (LC) ina utaratibu gani ili uweze kupewa na bank.
Ahsanteni
 
Hili swali, litajibika vyema iwapo utataja mfano wa hizo kampuni.

1. Utaratibu wa manunuzi/kufanya malipo kwa kiwango kidogo cha fedha mfano chini ya $5,000 ni tofauti na
2. Utaratibu wa manunuzi/kufanya malipo kwa kiwango kikubwa cha fedha mfano $200,000 au zaidi.

Hivyo ongeza maelezo ili kupanua wigo wa kupatiwa jibu stahiki.
 
Supplier wako ndiye atakupa utaratibu wake wa kupokea malipo. Ni vyema uanzie huko.
 
Habari wakuu
Nahitaji kufanya international business Yani kununua bidhaa kutoka kwenye kampuni zlzo nje ya nchi mfano UK, Austria, South Africa n.k.
Naomba kujua Ni njia gani za kufanya malipo ambzo Ni salama Zaid ambazo ztailinda pesa yangu ispotee pale inapotokea muuzaji akawa si muaminifu.
Pia nlikuwa naomba kujua T/T inakuaje na letter of credit (LC) ina utaratibu gani ili uweze kupewa na bank.
Ahsanteni
Kama unanunua kupiti hizi e-commerce nadhani paypal hana mpinzani au alipay kama unatumia alibaba
 
Hili swali, litajibika vyema iwapo utataja mfano wa hizo kampuni.

1. Utaratibu wa manunuzi/kufanya malipo kwa kiwango kidogo cha fedha mfano chini ya $5,000 ni tofauti na
2. Utaratibu wa manunuzi/kufanya malipo kwa kiwango kikubwa cha fedha mfano $200,000 au zaidi.

Hivyo ongeza maelezo ili kupanua wigo wa kupatiwa jibu stahiki.
Mfano was kampuni Ni kbc company AB ilyopo Sweden.
Malipo Ni chini ya $5000
 
Back
Top Bottom