Hili swali, litajibika vyema iwapo utataja mfano wa hizo kampuni.Naomba kujua Ni njia gani za kufanya malipo ambzo Ni salama Zaid ambazo ztailinda pesa yangu ispotee pale inapotokea muuzaji akawa si muaminifu.
Ni kweli, ila hoja yake ya msingi ni hii: |πππ|Supplier wako ndiye atakupa utaratibu wake wa kupokea malipo.
Ni njia gani za kufanya malipo ambzo Ni salama Zaid ambazo ztailinda pesa yangu ispotee pale inapotokea muuzaji akawa si muaminifu.
Kama unanunua kupiti hizi e-commerce nadhani paypal hana mpinzani au alipay kama unatumia alibabaHabari wakuu
Nahitaji kufanya international business Yani kununua bidhaa kutoka kwenye kampuni zlzo nje ya nchi mfano UK, Austria, South Africa n.k.
Naomba kujua Ni njia gani za kufanya malipo ambzo Ni salama Zaid ambazo ztailinda pesa yangu ispotee pale inapotokea muuzaji akawa si muaminifu.
Pia nlikuwa naomba kujua T/T inakuaje na letter of credit (LC) ina utaratibu gani ili uweze kupewa na bank.
Ahsanteni
Mfano was kampuni Ni kbc company AB ilyopo Sweden.Hili swali, litajibika vyema iwapo utataja mfano wa hizo kampuni.
1. Utaratibu wa manunuzi/kufanya malipo kwa kiwango kidogo cha fedha mfano chini ya $5,000 ni tofauti na
2. Utaratibu wa manunuzi/kufanya malipo kwa kiwango kikubwa cha fedha mfano $200,000 au zaidi.
Hivyo ongeza maelezo ili kupanua wigo wa kupatiwa jibu stahiki.