Kwa sisi wa mkoani unatusaidiaje? Au unaprint Pia online?Habari! karibu sana
nafanya huduma ya printing kwa ubora wa hali ya juu kama nimezaliwa nayo.
Tunaprint vikombe, chupa, t-shirt aina zote zikiwemo jersey.
uniform za wanafunzi.
mifuko ya kufungia bidhaa kwaajili ya kutangaza biashara zako.
karibu sana sana tukuhudumie.
Tunapatikana [emoji625]Dar es salaam.
View attachment 3592778View attachment 3592779View attachment 3592780View attachment 3592781View attachment 3592782