Maana kila nikitongoza Wadada anasema yupo kwa mahusiano.
Sio poa
Inaniumiza kichwa sana kupata ninayemhitaji.
Chaajabu kuna wadada wanaonekana kunikubali asilimia zote hata sjawatongoza, chaajabu siwaelewi wala nin.
Ninaowaelewa wanawatu wao.
Nifanyej??