Fundi Rangi designer
Member
- Dec 30, 2023
- 9
- 3
ni kweli kabisa mkuuNyie mnakuwaga saidia fundi hamna mnachokijua
Tatizo la mafundi tukiwaacha site abazo hatujaamia mfanye kazi nyie mnageuza gesti, hiyo kitu spendi.fundi wa skimming rangi na design mbalimbali napatikana dar mikoani pia nafanya kazi karibu tukuhudumie namba za simu 0718884670View attachment 2858798View attachment 2858800View attachment 2858799View attachment 2858801View attachment 2858802
Aisee iyo ni changamoto nyingi za mafundi hawajui wajibu wao kwa mda mhafak kiukwe kama mm na team yangu ni bola ukafanyie huko nje mbali kuliko sehem alipo kuleta mteja inakuwa sio heshima kiukweli mbak hata tusio na mambo hayo tunajumuishwa aiseeTatizo la mafundi tukiwaacha site abazo hatujaamia mfanye kazi nyie mnageuza gesti, hiyo kitu spendi.
Mwingine juzi j2 nilimwita anipakie rangi kwenye corridor kwenye nyumba ninayoishi maana rangi y kwanza imechoka bahati nzuri akadakwa na mke wangu badala ya kufanya kazi iliyomleta ye yuko bize kumtongoza binti yangu ambae ni mwanafunzi.
Mke wangu alimwakia fundi mpaka aibu.
ndio haswa ukiitunza mahala sio sahihi lazima ianze kuganda au pia kukaa sana bila kutumika kwa mda mrefuHV wall putt zinatabia ya kuganda
Bei gani kuremba hivi?fundi wa skimming rangi na design mbalimbali napatikana dar mikoani pia nafanya kazi karibu tukuhudumie namba za simu 0718884670View attachment 2858812View attachment 2858813
White skim ya magic builders ni bora zaidi.Mkuu,Kwa uzoefu wako ni wall puty gani nzuri Kati ya jk na magic builders? Asante
Asante mkuuWhite skim ya magic builders ni bora zaidi.