Ngondonyoni
Senior Member
- Feb 16, 2016
- 120
- 74
Asante bwana Katavi. Nasikia sana kwamba ni ngumu sana kuota. Nilikuwa nafikiri Morogoro pangekuwa pazuri, lakini naanza kuwaza kama kwamba pengine Njombe au Iringa pangefaa zaidi....Inalimwa kama chakula cha mifugo pia, ila maeneo mengi ni ngumu sana kuota hasa haya ya pwani. Mbegu ni adimu sana kupatikana, inapatikana kwa oda maalumu taasisi ya utafiti wa mifugo Mpwapwa. Nimejaribu kupanda mara mbili lakini imekataa kabisa licha ya kujielimisha kuhusu udongo na hali ya hewa inayotakiwa..!!
Mbegu wanauzaje?Inalimwa kama chakula cha mifugo pia, ila maeneo mengi ni ngumu sana kuota hasa haya ya pwani. Mbegu ni adimu sana kupatikana, inapatikana kwa oda maalumu taasisi ya utafiti wa mifugo Mpwapwa. Nimejaribu kupanda mara mbili lakini imekataa kabisa licha ya kujielimisha kuhusu udongo na hali ya hewa inayotakiwa..!!
Mbegu za Alfalfa - Lucerne zinapataka. Ukihitaji nitafute.Habari zenu?
Nafanya utafiti kidogo kuhusu Lucerne au Alfalfa Tanzania na Kenya. Hapo Kenya naona wanalima alfalfa kwa ajili ya ng'ombe na mbuzi Zao. Tanzania sijapata Maelezo bora, zaidi ya kwamba wachache Arusha na Moshi wanalima kwa ajili ya mahitaji Yao binafsi, na mbegu ni adimu sana.
Katika utafiti wangu naona alfalfa ni zao la biashara nzuri.... sielewi lakini wapi ingefaa kulima, Morogoro? Tanga? Kilwa? Kaskazini? Njombe?
Naomba ushauri au mawazo yenu.
Unawatafutiya Google au hapa JF?Watafute land o lakes