Nafanya uwekezaji wa Nguruwe

Dayooo

Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
70
Reaction score
103
Nimeanza uzalishaji wa nguruwe wa biashara! nitakuwa nauza kadiri ya mahitaji ya mteja, ninafuga kibiashara! nitahitaji wanunuzi wa mabucha na wafugaji, now niko kwenye uzalizaji nahitaji permanent buyer kwa mkataba n.k,, nilianza na nguruwe 25 size tofauti mwezi wa 6 mwishoni target yangu ni kutoa nguruwe 30 kila mwezi,kwa kuanzia na nitaendelea kadiri nitakavyozalisha.

Nina nguruwe waliokwisha zaa 6 na piglets 66 wenye mimba 13,, na wengine bado,, nimedhamiria kushika soko kwa uhakika bila kukosa bidhaa,, mbegu ninazozalisha ni largerwhite, landrace, saddleback, pertain na duroc,

Nategemea February niwe na nguruwe 400 na hapo ndipo nitakapoanza mauzo,,nimetembelea masoko mbalimbali , but bado sijapata permanent buyer!

Nguruwe wangu wanakula vizuri na wanakunywa maji ya kutosha kwa mfumo wa nipple, usafi ni kipaumbele, ndugu zangu mwenye masoko tujuzane!!! niko maeneo ya kerege bagamoyo.

Ansanteni
 
Nimeanza uzalishaji wa nguruwe wa biashara! nitakuwa nauza kadiri ya mahitaji ya mteja, ninafuga kibiashara! nitahitaji wanunuzi wa mabucha na wafugaji, now niko kwenye uzalizaji nahitaji permanent buyer kwa mkataba n.k, nilianza na nguruwe 25 size tofauti mwezi wa 6 mwishoni target yangu ni kutoa nguruwe 30 kila mwezi,kwa kuanzia na nitaendelea kadiri nitakavyozalisha.

Nina nguruwe waliokwisha zaa 6 na piglets 66 wenye mimba 13,, na wengine bado, nimedhamiria kushika soko kwa uhakika bila kukosa bidhaa, mbegu ninazozalisha ni largerwhite, landrace, saddleback, pertain na duroc

Nategemea February niwe na nguruwe 400 na hapo ndipo nitakapoanza mauzo,,nimetembelea masoko mbalimbali, but bado sijapata permanent buyer! nguruwe wangu wanakula vizuri na wanakunywa maji ya kutosha kwa mfumo wa nipple, usafi ni kipaumbele, ndugu zangu mwenye masoko tujuzane. Niko maeneo ya kerege bagamoyo.

Ansanteni
 
Wadudu wanakula hao! Halafu wakishiba wanafukua chakula na pua zao kwa lengo la kukimwaga!

Unamudu vipi kuwalisha nguruwe wote hao! Once upon the time, nilijaribu kufuga 10 tu!! Aisee nilishindwa. Maana ukiwachelewesha tu kula, wanaanza kupiga makelele!
 

Kuna staili mbili za kula...
1. Kula ili waongeze mafuta.
Hii ndio muda wotee unawapa chakula tu.
Mwisho wa siku wanaongezeka mafuta.
2. Kuna kula ili waongezeke muscles (nyama).
Hii unawapa chakula mara moja tu kwa siku.

Na elewa nyama/muscles ndio bei Bora sokoni ila sio mafuta.

#YNWA
 
Nimekuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…