Nafanya uwekezaji wa Nguruwe

Nadhani hapa panahitaji shule
 
Mkuu nilikua sijui hii kanuni, sasa ili nyama ziongezeke aina ya chakula ni tofauti?
 
Nadhani hapa panahitaji shule

Mkuu nilikua sijui hii kanuni, sasa ili nyama ziongezeke aina ya chakula ni tofauti?
1. Muscles

Chakula kilekile unachowapa muda wotee ili waongezeke mafutaa basi wape kwa siku mara moja.

Yaani amka asubuhi fanya usafi wa Banda halafu Weka chakula chako cha kutosha (usisahau balance diet).

Halafu muda wotee hakikisha maji yapo.

2. Mafuta.

Unawapa tu chakula.
Asubuhi, mchana na jioni.

Ili mradi chakula kimeisha basi we unawapa tu.

Watajua mabongee ila ubonge wao ni kutokana na mafuta kujazana mwilini.

#YNWA
 
Thnks
 
Hongera Mkuu natamani nijifunze kutoka kwako ninayo ndoto ya kufanya haya ufanyayo!!!
Hongera tena Mkuu Dayooo
 
Hao nguruwe 25 walitosha kwenye space ya ukubwa upi boss?
 
project ya kibabe, hapo uwe na mtaji mtamu siyo magumashi.
mkuu hzo breed unazitambuaje kama mtu siyo mtaalamu. ipi breed nzuri kwa kuvunwa nyama tu (inayojaa nyama haraka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…