ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu kuna zile siku za sikukuu huwa tunaona maonyesho ya Wanajeshi kuvunja tofali kwa mikono au kichwa mmeshawakumbuka eeh?
Ule uwezo kuna mtu anaweza kunipa dondoo unapatikana vipi inachukua muda gani au pengine huwa kuna dawa ya kupaka kutia ganzi kupunguza maumivu?
Nimeamia kibandani kwangu umbali wa kilomita tatu kutoka mjini na kuna sehemu bodaboda wanaishia inabidi nipitembee kwa miguu kwenye vipori sasa njiani kuna vijana walevi na wavuta bangi nasikia huwa wanakuwaga na tabia ya ukorofi kusimamisha mtu kumzingua zingua.
Mwanzo nilitaka nitumie busara kuzoeana nao na kuwatia offer kidogo maana na mimi natumia tumia pombe ili wawe wananichukulia kama mwana wao ila naona hio njia ni ya kifanta nataka nisiwe na maelezo mengi nikikutana na boya analeta mazoea mara kanisimamisha nimpe ngumi la bega ngumi kali yaani mpaka ajiulize kapigwa na nyundo au ngumi halafu namsikilizia.
Sasa kiukweli nawaogopa ogopa maana mimi nachokijua kupigana huwa siwezi shule ya msingi nilikuwa nadundwa na mara ya mwisho nilipigwa kichwa na muhidini 2013.
Naombeni msaada sitaki kujifunza boxing, nachotaka kukomaza vidole na kichwa na mikono basi. Kama huna msaada wa ishu ya kukomaza mwili kama wale wanajeshi basi usinishauri kingine heri ukae kimya.