Nafanyeje sasa

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
19,644
Reaction score
40,546
Kwema kwema wakuu...

Wakuu nimekuja tena maana hapa ndio hom sweet hom..
Sifanyi kitu hovyo bila maoni na ushauri wenu wakuu..

Sasa wakuu hii ishu ya kutoka na watu wazima sasa imeanza kunipa negative effects...

Bila kuzunguka wakuu kuna bibi mmoja hvi ameanza kutanganza kwa wadau na wamama wenzake kuwa mimi namtaka.. alafu yeye amenikata..

Sasa naanza kupata story kwa kila mtu nae kutana nae mtaani hapa kwamba mimi nimtaka huyo bibi wakati ni kitu hakipo kabisa aiseeeeee..

Sasa wakuu hii imeanza nialibia CV hapa mtaaa maana kila sister duu wemeanza kunitenga kwa kuzani mimi nakula yule bibi sijui ..

Afadhari angekua hata anajiweza au ana T 3 ila hana .

Wakuu naombeni ushauri huyu mtu ili asiendelee kunisambazia mbya nifanyaje maana nishamblok kila sehemu na wala siongei nae tena l...

Naona hiko kitendo cha mimi kukaza kuongea nae na yeye ameanza kuzusha mbaya aiseee....

Wakuu nafanyaje hapa..??

Manyanza
Angel Nylon
 
T3
Tako
Tumbo
Titi
Ahaaa
 
Classmate unakula vikongwe??🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…