Nafas za kutransfer vyuo toka TCU

Nafas za kutransfer vyuo toka TCU

King Hash

Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
52
Reaction score
13
Wale wanaohtaj MD,PHARMACY,LABORATORY kiufup wale wa maswala yanayousiana na afya golden chas kwao sasa tcu wametoa orodha ya vyuo na coz za afya pamoja na kias cha watu hitajika yan kuna nafasi za doctor(md) mpaka muhas wanahtaj watu so fanya fasta kama unahitaj ingia website ya tcu then fatilia hii mambo utapewa maelekezo mafupi yanayoeleweka then kwa uwezo wa mungu utafankiwa.kumbuka golden chans never come twise.deadline wamesema tare 7 so kazi kwenu 1st yr wenzangu.by King Hash.
 
Acha kuwadanganya wenzio. HAKUNA nafasi za MD vyuo vyote vimejaa. Na MUHAS imejaa kozi zake zote, haina nafasi.
Pitia download PDF ya TCU uone nafasi zilizopo, hakuna MD popote pale.
 
Tatizolako haupo updated, xo hayuwez kubishama na wew punga!
 
Anawadanganya wenzie

yani kumbe watu wanaenda direct chuon wakuu.,tcu wametoa list ya kozi ya afya na slots zake bt hawezi kuamin hizo nafasi zinakabwa kimtindo na watu walioenda kwa DVC wa chuo husika wakiwa na vigezo wanapewa admission afu then majina yao yanatumwa tcu..,jana nilishuhudia mwenyew pale bugando nilienda na dogo kumfanyia mchakato wa kozi ya pharmacy kumbe ishajaa so ikabidi aombe nursing...yani msipoangalia hii transfer itasaidia wachache wengi mtabaki huko huko kwny bachelor of edctn in science na div 2 zenu..!
 
usipotoshe umma kijana.. sijaona slots kwa MD
 
inafedhehesha sana mkuu
 
Wale wanaohtaj MD,PHARMACY,LABORATORY kiufup wale wa maswala yanayousiana na afya golden chas kwao sasa tcu wametoa orodha ya vyuo na coz za afya pamoja na kias cha watu hitajika yan kuna nafasi za doctor(md) mpaka muhas wanahtaj watu so fanya fasta kama unahitaj ingia website ya tcu then fatilia hii mambo utapewa maelekezo mafupi yanayoeleweka then kwa uwezo wa mungu utafankiwa.kumbuka golden chans never come twise.deadline wamesema tare 7 so kazi kwenu 1st yr wenzangu.by King Hash.

Kaka mbna hiyo outdated watu washa maliza na kutransfer wame itoa kitambo
 
yani kumbe watu wanaenda direct chuon wakuu.,tcu wametoa list ya kozi ya afya na slots zake bt hawezi kuamin hizo nafasi zinakabwa kimtindo na watu walioenda kwa DVC wa chuo husika wakiwa na vigezo wanapewa admission afu then majina yao yanatumwa tcu..,jana nilishuhudia mwenyew pale bugando nilienda na dogo kumfanyia mchakato wa kozi ya pharmacy kumbe ishajaa so ikabidi aombe nursing...yani msipoangalia hii transfer itasaidia wachache wengi mtabaki huko huko kwny bachelor of edctn in science na div 2 zenu..!

Hii nchi kila sehemu ni ufisadi tuuu na mambo ya kukurupukaaaa sasa walikuwa na maana gani ya kuweka kwenye mtandaooo
 
hapo ndo tujiulize wote,hiki kitu nimekishuhudia mwnyw pale bugando jana wanasema pharmacy imejaa.,ila ukicheki pale tcu unakuta available slots 10 sasa hebu jiulize mtu wa mbeya atafikaje pale chuoni?.siinabidi atume tcu tu afu mwisho wa siku anabaki huko huko teku alikopelekwa mwanzo..afadhali wangetoa option hata ya kutuma vyuo vi3 pengine hiyo ingesaidiaaaaaa mkuu
 
Kaka mimi nilifanya transfer lakini hadi hapo nisha kata tamaa na kuna jamaa kaomba MD HUKO bugando lakini wao.wata kwambia compitition hivi hawa jamaa wana akili kweliiii anyway.ngoja nika reaport niliko pangwa
 
inaonesha ni jinsi gan elimu ya tz ilivyokosa mwelekeo mkuu.,
 
yani kumbe watu wanaenda direct chuon wakuu.,tcu wametoa list ya kozi ya afya na slots zake bt hawezi kuamin hizo nafasi zinakabwa kimtindo na watu walioenda kwa DVC wa chuo husika wakiwa na vigezo wanapewa admission afu then majina yao yanatumwa tcu..,jana nilishuhudia mwenyew pale bugando nilienda na dogo kumfanyia mchakato wa kozi ya pharmacy kumbe ishajaa so ikabidi aombe nursing...yani msipoangalia hii transfer itasaidia wachache wengi mtabaki huko huko kwny bachelor of edctn in science na div 2 zenu..!

Pumbavu zako, tena mshenzi kabisa! Kwa nn unabeza ualimu? Fara mkubwa. Nguruwe wa mayai.

Samahani modeletor usinifungie huyu mbwa kaniuzi sn kubeza ualim.
Noni
 
Back
Top Bottom