sasa diploma ya sheria, cheti cha sheria sasa watapangiwa kazi gani................... tunakoelekea ili uwe judge inabid uwe na PHD
kazi zenyewe za sheria zilivyo za shida bongo! ngoja nimstue mrembo mmoja proffessional jobless, anasaka kazi for like 4 years now,labda atagundua kijijini napo kunafaa faa
Digrii ya sheria kuwa karani wa mahakama halafu nisishangae ?
Kuweni serious kidogo, sio kwa faida ya kupata kazi tu, Bali kwa kuangalia umesoma nini na unatumiaje ulichosoma kwa manufaa ya nchi. Kuandika summons? Kuandika removal order? Kuandika quorum? Kujaza fomu za dhamana?
Kama tuko makini tubadili mfumo wa mahakama ili kuaccomdate hilo.
| NA. | KITUO | NAFASI | NA | KITUO | NAFASI |
| 1. | MAFIA | 1 | 37. | MUSOMA | 2 |
| 2. | KILOSA | 3 | 38. | SERENGETI | 2 |
| 3. | MAHENGE | 1 | 39. | TARIME | 2 |
| 4. | MVOMERO | 1 | 40. | BUNDA | 3 |
| 5. | DODOMA | 2 | 41. | TABORA | 3 |
| 6. | MPWAWA | 1 | 42. | SIKONGE | 1 |
| 7. | SINGIDA | 2 | 43. | NZEGA | 2 |
| 8. | KIOMBOI | 2 | 44. | KIGOMA | 5 |
| 9. | BUKOBA | 2 | 45. | KIBONDO | 4 |
| 10. | MULEBA | 1 | 46. | KASULU | 4 |
| 11. | KARAGWE | 3 | 47. | SHINYANGA | 4 |
| 12. | MBEYA | 2 | 48. | KISHAPU | 1 |
| 13. | MBARALI | 1 | 49. | MASWA | 2 |
| 14. | TUKUYU | 3 | 50. | MEATU | 1 |
| 15. | ILEJE | 1 | 51. | BARIADI | 2 |
| 16. | MBOZI | 2 | 52. | KAHAMA | 3 |
| 17. | CHUNYA | 1 | 53. | BUKOMBE | 1 |
| 18. | KYELA | 2 | 54. | SUMBAWANGA | 2 |
| 19. | MOSHI | 2 | 55. | NKASI | 2 |
| 20. | SAME | 2 | 56. | MPANDA | 3 |
| 21. | ROMBO | 1 | 57. | SONGEA | 3 |
| 22. | MWANGA | 2 | 58. | NAMTUMBO | 2 |
| 23. | HAI | 1 | 59. | MBINGA | 2 |
| 24. | MTWARA | 3 | 60. | TUNDURU | 2 |
| 25. | MASASI | 2 | 61. | TANGA | 1 |
| 26. | NEWALA | 1 | 62. | KILINDI | 1 |
| 27. | TANDAHIMBA | 2 | 63. | LUSHOTO | 3 |
| 28. | LINDI | 4 | 64. | KOROGWE | 2 |
| 29. | NACHINGWEA | 3 | 65. | MUHEZA | 3 |
| 30. | LIWALE | 1 | 66. | PANGANI | 1 |
| 31. | RUANGWA | 4 | 67. | HANDENI | 1 |
| 32. | KILWA | 4 | 68. | IRINGA | 2 |
| 33. | MWANZA | 1 | 69. | MUFINDI | 2 |
| 34. | UKEREWE | 2 | 70. | LUDEWA | 2 |
| 35. | SENGEREMA | 2 | 71. | MAKETE | 2 |
| 36. | GEITA | 2 | 72. | NJOMBE | 2 |
Kama ulikuwa hujastukia ndo hali ilivyo kwenye taaluma karibia zote kasoro udaktari na ualimu!
siku hizi digrii ya kwanza ni kama cheti cha darasa la saba tu!
lakini nimeshawai kufanya kazi mahakamani...nikajifunza kuwa mahakimu wa mahakama za mwanzo wana pesa kuliko wale wa wilaya na mkazi...isipokuwa, hao wanaoenda primary court na wana degree ya LLB, wanaweza kusahau sheria kwasababu kule primary court mambo mengi cap. 20 yaan criminal procedure Act ile ya mwenendo tuliouzoea...wanayo ya kwao na opinion of assesors is binding.....so haupo peke yako pale, kuna wazee wa balaza ambao hakika yake hawajasoma sheria kabisa...na wanatoa opinion yao pale...ila wana pesa nyingi sana, na ni miungu watu kupita maelezo....unaabudiwa unaweza hata kufuliwa nguo...watu wanakuletea pesa hata kama huzitaki..
Mbona watu hamtaki kukubaliana na wakati kumbukeni zamani watu walivaa magome ya miti na sasa wanavaa nguo katika kujisitiri. Sasa hizi Tangazo la East african community mbona hakuna anayeshangaa msimamizi wa ulizi kutakiwa kuwa na degree. Nadhani hata mwenye degree ya sheria anaweza kuomba tu muda unaruhusuDigrii ya sheria kuwa karani wa mahakama halafu nisishangae ?
Kuweni serious kidogo, sio kwa faida ya kupata kazi tu, Bali kwa kuangalia umesoma nini na unatumiaje ulichosoma kwa manufaa ya nchi. Kuandika summons? Kuandika removal order? Kuandika quorum? Kujaza fomu za dhamana?
Kama tuko makini tubadili mfumo wa mahakama ili kuaccomdate hilo.
Bandarini hela nzuri kaka, hebu tuambie...... nafasi za lini?Hata bandari wandtangaza kazi za usimamizi wa security na speciffically law graduates
Bandarini hela nzuri kaka, hebu tuambie...... nafasi za lini?