]Huyu jamaa Upstairs hayuko vizuri[/SIZE]. Anajifanya kujua na kudharau watu kwa sababu ya vipesa vyake, Ajira ngapi watu wanaajiriwa ku hande millions bila hata kuwa na Senti tano? Nini maana ya kuwa na Controls, Controls ipo kwa ajili ya kusafe Guard Asets za Biashara. Unapokuwa na mzunguko mkubwa wa pesa na unalipa mishahahara midogo si utaibiwa? Kuwa makini kidogo Acha mawazo ya kuexploit watu.