NAFASI 4 ZA KAZI KATIKA TAMASHA LA ZIFF(18 - 26 June, 2011 | Zanzibar International Film Festival)

NAFASI 4 ZA KAZI KATIKA TAMASHA LA ZIFF(18 - 26 June, 2011 | Zanzibar International Film Festival)

mkwatis

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
350
Reaction score
171
BONANZA FOOD AND BEVERAGE
Tunahitaji wahudumu wa Kike(Vijana) kwenye mgahawa wakati wa Tamasha la Kimataifa la ZIFF. wenye ujuzi na uelewa wa lugha za kimataifa zaidi ya moja,ukarimu na wepesi, uzoefu wa biashara ya vyakula/vinywaji.

Contact:+255774393333
 
Kuna kijana, nahisi atakufaa anaonge kiingereza vema na kifaransa kidogo, bila kusahau kiswahili, ntamshauri akutafute
 
@Easymutant
]Muda gani mbona hujataja !? mwezi mmoja miezi sita eeh! ?------>18 - 26 June, 2011 (ref :heading)
next time soma vizuri or contact via 4N
 
Back
Top Bottom