C Concrete JF-Expert Member Joined Mar 12, 2011 Posts 3,605 Reaction score 550 Oct 19, 2012 #21 BARCA ON said: jeshi la wananchi wao wanatoa lin? Click to expand... Taarifa zilizomo humu JF zinadai wamesitisha kuajiri graduates. Hivyo JWTZ hawataajiri tena graduates bali watasomesha askari wao tu.
BARCA ON said: jeshi la wananchi wao wanatoa lin? Click to expand... Taarifa zilizomo humu JF zinadai wamesitisha kuajiri graduates. Hivyo JWTZ hawataajiri tena graduates bali watasomesha askari wao tu.
Francis Makari Member Joined Jul 16, 2010 Posts 23 Reaction score 4 Oct 20, 2012 #22 Ni kweli mafunzo hayajaanza maana sijawasikia wakipita mchakamchaka hapa barabarani, ila leo morning nimesikia kelele nyingi zikitokea huko ccp.
Ni kweli mafunzo hayajaanza maana sijawasikia wakipita mchakamchaka hapa barabarani, ila leo morning nimesikia kelele nyingi zikitokea huko ccp.
N ndumaely Member Joined Jul 11, 2012 Posts 28 Reaction score 7 Oct 20, 2012 #23 wanaapply vipi hizo nafasi jamani