Nafasi JWTZ ..

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Heshima mbele wana'JF naulizia vipi kuhusu nafasi za kujiunga jwtz &jkt kwa professionals. Kwa karibu mwaka mmoja sasa nimekuwa nikifuatilia humu JF na information zilionyesha kwamba wangetoa mwezi february.. And as time goes on, imekuwa kama danadana kwa takribani mwaka na miezi sasa. Hivyo mwenye valid info azitoe tunateseka huku mtaani. GOD BLESS YOU !
 
mimi hadi mwakani ivi huwa kuingia ni mwezi wa ngapi vile
 
mwezi wa nane au wa 9 usaili utakuwa kunduchi for proffessinals form 4 na 6 wanapitia jkt ambapo ni tayari wameshaenda so tusubiri tu wadau ila iyo ndo info

i saw them,,,ofisi ya mkuu wa mkoa dar es salaam,na ofis ya mkuu wa wilaya KINONDON,,,,it was last month
 
kama ni last month hiyo mwezi wa 8 au 9 inakujaje humu??
 
Mchakato wa kujiunga na JKT tumeshafanya mwezi Mei, 2012
 
nna mdau wangu nilikua nae leo(mwanajesh )alinambia zikitoka atanambia,,,,ila hazijatoka

sijasema kwamba zimetoka mi nipewa taarifa kutoka makao makuu kwahiyo mwezi wa 8 au 9 posts zinatoka na usaili utatangazwa.
 
mwezi wa nane au wa 9 usaili utakuwa kunduchi for proffessinals form 4 na 6 wanapitia jkt ambapo ni tayari wameshaenda so tusubiri tu wadau ila iyo ndo info

thanx for info mkuu tuwe tunapitia na hii website yao ingia JWTZ
 
wadau tafuteni ishu nyingine za kufanya achana na habari ya kusubiri ajira za taasisi fulani fulani,mtapoteza muda bure na umri ndo unakwenda
 
wadau tafuteni ishu nyingine za kufanya achana na habari ya kusubiri ajira za taasisi fulani fulani,mtapoteza muda bure na umri ndo unakwenda

u r clever man, hapo umenena,

watu mnakaa kusubiria geshi na wakija chukua na ukakosa si utakuwa umepoteza muda saana...

kama vipi pigeni ujasirialiamali vijana, sio lazima kuajriwa..!!
 
wadau tafuteni ishu nyingine za kufanya achana na habari ya kusubiri ajira za taasisi fulani fulani,mtapoteza muda bure na umri ndo unakwenda

unafikiri mtu unapoulizia haya mambo unakua umebweteka tu? Ways itabid 2kutafute ili u2pe japo mtaji wa kuanza huo ujasirialmal unaouzungumzia wewe mana kwako pesa ya mtaji si tatizo.
 
si mandondocha wa kusubiria mahala pamoja tunaangalia kila sector mzee embu jaribu kuvuka barabara alafu angalia upande mmoja tu uone

haya ndondocha, so unaiba pesa madukani na mifukoni mwa watu eehh, kaazi kweeli kweeeli...

pipo nyingine bhana au hazijui maana ya ndondochax zinajitamkia tu...!!!
 
unafikiri mtu unapoulizia haya mambo unakua umebweteka tu? Ways itabid 2kutafute ili u2pe japo mtaji wa kuanza huo ujasirialmal unaouzungumzia wewe mana kwako pesa ya mtaji si tatizo.

umemmaindi msela kukwambia upige dili nyingine uache bung'aa kusubirie geshi eeh

:majani7:tafuta hata mtaji wa kuchoma maindi kwani shs ngapi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…