Lini sasa ndugu? Twataka kujua mchakato ukoje coz mambo yanakwenda kimya kimya sana na kunatetesi kuwa zoezi limeshafanyika tayari, hebu funguka jembe!
lakini kwa mujibu wa hii gregorian calender tunayoijua sisi mwezi october si haujafika mkuu shida iko wapi?majuzi mwezi Oktoba nilisikia maprofessional wanafanyiwa usaili, leo hii eti bado, siwaelewi elewi humu JF.
TOENI TAARIFA ZA UHAKIKA TAFADHALI.
Yan Askari Wa Miguu hawa vijana sijui tuwaambie nn waelewe. Wiki hii wamedanganyana wakakimbilia makao makuu na wengine kukimbilia kuapply kumbe hamna chochote. Matokeo yake wakubwa wanalalamika jinsi watu wanavyokurupuka kutuma CV. Tangazo litatoka, mtafanya application, wengi mtaitwa ila sasa kwenye mchujo ndio sisemi kitu hapo. Polisi si mmeona utaratibu jinsi ulivyokua. Na majina wote mmeyaona, basi huo ndio utaratibu. Kuweni na subira wakuu.
Tena nyie mnaojifanya vimbelembele kupeleka Cv wakati hawajasema chochote ndio mnajidisqualify mapema jeshi halitaki wa2 desperate namna hyo wahanga wa ajira jeshi ni wito
Heshima mbele wana'JF naulizia vipi kuhusu nafasi za kujiunga jwtz &jkt kwa professionals. Kwa karibu mwaka mmoja sasa nimekuwa nikifuatilia humu JF na information zilionyesha kwamba wangetoa mwezi february.. And as time goes on, imekuwa kama danadana kwa takribani mwaka na miezi sasa. Hivyo mwenye valid info azitoe tunateseka huku mtaani. GOD BLESS YOU !

Mkuu mbona hii kitu ilishatoka tangu june?mkiona tupo kimya mjue michakato hakuna...humu ni uwongo tu....zikitoka mbona zitakuja tu humu..
wakati wakisubiri waende Jkt fasta
Tunajiamin tunawezaata ukiweka iyo picha bana tumeshaamua kujitolea ndan ya jesh letu la wananchi mana kama waliweza wazee wetu tutashndwaje bana sisi vijana wao