Nafasi JWTZ ..

Jamani hao jamaa walishachukua toka tarehe 17 july mwaka huu watu waliripoti mlale songea kambini ss hvi ni miez mitatu sasa na ilikuwa kimyakimya we subiri watangaze mwaka utaisha huu utaona kimya.
 
Yani humu kila mtu anasema yake cjui tumuamini nani sasa wakuu,any way kama ipo ipo tuu.
 
Vijana wa siku hizi kazi kweli kweli! JWTZ kwa mwaka huu hawakua na mpango wa kuajiri vijana wapya ila kutokana na development kadhaa kwenye mambo ya ulinzi wamelazimika kuomba waajiri so subirieni majibu mpaka baraza la mawaziri wakipitisha!

Hakuna cha Mlale wala Mafinga huko ni kwa watu wa JKT wanaojitolea

Mimi sio mwanaJESHI Ila ni mhitimu wa Kunduchi( kabla haijafungwa) na TMA
 
Ww hakuna cha jkt kujitolea hapa ni jwtz ndio wapo huko unaficha nini cc wenyewe familia nzima wajeda msidanganye watu tafadhali watu wanataka kujua ukweli.
 

Poa kamanda!
 
Jamani hao jamaa walishachukua toka tarehe 17 july mwaka huu watu waliripoti mlale songea kambini ss hvi ni miez mitatu sasa na ilikuwa kimyakimya we subiri watangaze mwaka utaisha huu utaona kimya.

sure mkuu hiyo ya songea hata mm nliickia na kuna mshkaj wangu alienda
 

kamanda naomba nikusahihishe hao wa songea sio wakujitolea hiyo special intake sema mchakato ulienda kimyakmya na kuna ndugu zangu wawili wao wapo huko
 
saivi huwa awa tangazi we peleka maombi2.
 
tafuta mtaji jamaa yangu jeshi ndo kazi gani
piga bingo kwenye biashara
 
mliokua depo mtupe updates au hamna net huko?
 
hata mie nashangaa

afande ras makunja akufume na ki-blackberry chako eti unaperuzi internet mbona utajamba cheche, utamwagilia minazi ya kambini yote iloe mpaka makuti :madgrin:
 
Vijana bado wanaendelea kutuma barua tu.? Hahahahaaaaa. Waliopo polisi wanapigaga sim, but naiti kali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…