OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Haji Manara peleka vyeti vyako isisubiri kubebwa na huruma, OMBA KAZI! !!
Yanga nao wametangaza usiku huu nafasi za Mwenyekiti Kamati ya Ufundi
Watampa tu jamaa kafit sanHivi Haji Manara ana ka degree kweli?
Aitoe wapi? Ujanja ujanja tu wa tusatifiketi twa uandishi wa habariHivi Haji Manara ana ka degree kweli?
Kumbe. Sasa ndo u media officer wa Simba bye bye.Aitoe wapi? Ujanja ujanja tu wa tusatifiketi twa uandishi wa habari
To dare is to do.Namna 1 hadi 4 lazima wawe affiliates wa Metl
Eti atapangiwa kazi nyingine😂😂😂Kumbe. Sasa ndo u media officer wa Simba bye bye.
Kazi ya uhamasishaji.Eti atapangiwa kazi nyingine😂😂😂
Ngoja tusuhbilie tuone,japo kuna jimbo anataka kugombea ubunge jijini hapaKazi ya uhamasishaji.
ANa tudigirii tuwili...!Hivi Haji Manara ana ka degree kweli?