capacity wa geza
Member
- Oct 11, 2014
- 21
- 0
Habarin za asubuh, mimi ni mmoja kati ya walio ktk janga la wanafunzi walio kosa mkopo mwaka huu, jana alhamis nimeona taarifa kwenye blog 1 iv et serikali kwakuwa imeona watu wengi wamekosa mkopo hivyo kutoa tena nafas mpya tena kuapply mikopo kwa wote wale wote walio koxa, serikal itaingia mkataba na chuo husika then watasoma bure then watakulipiwa gharama zote na serikali mwakani....naomben uthibtsho juu ya hili
tembelea: www.yuvinusm.blogspot.com