ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Sasa ni rasmi msimu ujao Tanzania itarejea katika utaratibu wa kutoa timu mbili kwenye michuano ya CAF baada ya Yanga kushindwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho waliyokuwa wakishiriki
Timu ya San Pedro ya Ivory Coast imeisidia nchi yake kuchukua nafasi ya Tanzania baada ya timu hiyo kutinga makundi
Ivory Coast imeongeza alama zake hivyo kuizidi Tanzania iliyokuwa ikishika nafasi ya 12 ambayo ni ya mwisho kwa nchi zinazopaswa kutoa timu nne
Bingwa wa ligi kuu msimu huu atashiriki Ligi ya Mabingwa wakati atakayetwaa kombe la FA atashiriki michuano ya kombe la Shirikisho msimu ujao