Sasa ni rasmi msimu ujao Tanzania itarejea katika utaratibu wa kutoa timu mbili kwenye michuano ya CAF baada ya Yanga kushindwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho waliyokuwa wakishiriki
Timu ya San Pedro ya Ivory Coast imeisidia nchi yake kuchukua nafasi ya Tanzania baada ya timu hiyo kutinga makundi
Ivory Coast imeongeza alama zake hivyo kuizidi Tanzania iliyokuwa ikishika nafasi ya 12 ambayo ni ya mwisho kwa nchi zinazopaswa kutoa timu nne
Bingwa wa ligi kuu msimu huu atashiriki Ligi ya Mabingwa wakati atakayetwaa kombe la FA atashiriki michuano ya kombe la Shirikisho msimu ujao
Punguza mhemuko hizo nafasi hazihami kila msimu ni performance ya nchi ngazi ya vilabu kwa miaka 4in row hizo habari umezitoa wapi? league za CAF ndio kwanza zina enda round ya makundi overall performance ya Cote d'Ivoire umeipata kanaje wkt bado league hazija isha? japo CAF ni wababaishaji ila saa zingine wana akili
Sheria inasema timu ikipata nafasi inatumikia nafasi ya timu 4 miaka 4 mfululizo.Acha kutulisha matangopori.Nafasi ya Tanzania kubaki na timu 4 ni ndogo sana, Tanzania ambayo ni ya 12 na ya mwisho ina pointi 18, Ivory Coast ambayo inatufatia ina pointi ina pointi 15, na bado ina timu ambayo ime qualify group stage ya kombe la shirikisho.
Lakini bado kuna nchi mbili zingine ambazo zinaweza ku tung'oa Zimbabwe na Libya, Zimbabwe wana timu ligi ya mabingwa ngazi ya makundi Platinum. tayari Zimbabwe kwa sasa ina pointi 8 na kama Platiinum watafanya vizuri Zimbabwe wanaweza pata fursa hiyo. Kumbuka wakati Simba inaingia group stage Tanzania ilikuwa na pointi tatu zilizoletwa na Yanga kombe la shirikisho, Lakini Simba alitengeneza pointi 15 katika ngazi ya makundi na robo fainali. Libya nao wanaweza kutung'oa kwani wana pointi 10 sasa hivi na wameingiza timu kombe la shirikisho ngazi ya makundi Al Nasr, ikifanya vizuri nayo inatung'oa.
Safi sanaa Wale waliofungwa juzi misri wamekwenda kuipa aibu nchi.
Asante kwa taarifa, please nukuu hicho kifungu na utuwekee hapaSheria inasema timu ikipata nafasi inatumikia nafasi ya timu 4 miaka 4 mfululizo.Acha kutulisha matangopori.
Asante kwa taarifa, please nukuu hicho kifungu na utuwekee hapa
Safi sana sio watu wanasubiri mbeleko halafu wanapiga kelele
Mi siwezi kufatilia link yoyote sababu timu nayoshabikia imeshapata nafasi hiyo ni kazi yenu mnayoshabikia timu zilizozoea mbelekoumefatilia hiyo link ya mwisho na kuelewa kilichoandikwa au ume comment kwa gabari tu ya 2019.?...nenda mwisho wa comment zote kuna link kaiweka uelewe alichokileta kabla hujakomment habari ya mwaka jana, kuna ya mwaka huu ndo u comment, ingawa hakuianzishia uzi mpya!