N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Jul 16, 2020 #21 Mwaka huu atubebi mtu, tuliwabeba msimu uliopita lkn mwisho wake ikawa shukrani ya punda
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,552 Reaction score 13,090 Jul 16, 2020 #22 Noti bandia said: Mwaka huu atubebi mtu, tuliwabeba msimu uliopita lkn mwisho wake ikawa shukrani ya punda Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Noti bandia said: Mwaka huu atubebi mtu, tuliwabeba msimu uliopita lkn mwisho wake ikawa shukrani ya punda Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
G G4rpolitics JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,369 Reaction score 5,248 Jul 17, 2020 #23 mi siyo hiyo timu unayo waza ila umecoment tofauti na kilichopo...huyo uliyemsema kazoea tayari kashabebwa kwani Libya imepigwa ban, hivyo usishangae kuona timu nne tena! rodrick alexander said: Mi siwezi kufatilia link yoyote sababu timu nayoshabikia imeshapata nafasi hiyo ni kazi yenu mnayoshabikia timu zilizozoea mbeleko Click to expand...
mi siyo hiyo timu unayo waza ila umecoment tofauti na kilichopo...huyo uliyemsema kazoea tayari kashabebwa kwani Libya imepigwa ban, hivyo usishangae kuona timu nne tena! rodrick alexander said: Mi siwezi kufatilia link yoyote sababu timu nayoshabikia imeshapata nafasi hiyo ni kazi yenu mnayoshabikia timu zilizozoea mbeleko Click to expand...