T TM65TZ Member Joined Jul 20, 2009 Posts 15 Reaction score 0 Feb 7, 2010 #1 Nani anamjua mtu ambayo anasafirisha container kutoka Ulaya karibuni na amebaki na nafasi kidogo, nahitaji 1m3 tu kwa jili ya kuweka spare moja tu ya gari??haina uzito lolote, ni ukubwa (volume) tu. Gharama nitalipa
Nani anamjua mtu ambayo anasafirisha container kutoka Ulaya karibuni na amebaki na nafasi kidogo, nahitaji 1m3 tu kwa jili ya kuweka spare moja tu ya gari??haina uzito lolote, ni ukubwa (volume) tu. Gharama nitalipa