Nani anamjua mtu ambayo anasafirisha container karibuni kutoka Ulaya?? nahitaji nafasi ya 1m3 tu kwa jili ya kuweka spare moja tu ya gari. Haina uzito lolote, ni volume tu, gharama italipwa. Asante
Hakuna maada isiyo na uzito.
Ni spare gani hiyo ya gari isiyo na uzito bali ujazo tu?
Hata kama ingekuwa gas, bado container yake ingekuwa na uzito tu.