Nafasi ya ajira ualimu Tanganyika

Asha hassan

New Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
1
Reaction score
1
Mimi ni Mzanzibar naomba mnisaidie vipi naweza kupeleka barua za maombi ya ualimu kwani mimi ni mgeni sijui pa kuanzia na huku kwetu kazi ni tabu sana nishahangaika hadi nimechoka.

Naomba muongozo wenu!
 
ni pm namba zako nitakuunganisha na mtu ambae amefanya kama unavyotaka wewe
 
pole sana hope utafabnikiwa bara bado nafasi ni nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…